NACTE | Tangazo la Kuhama chuo na Kubadili course | Announcement About to Change Courses and College Transfer | Deadline: 30th August, 2019

NACTE | Tangazo la Uhamisho wa vyuo na Kubadili course | Announcement About to Change Courses and College Transfer | Deadline: 30th August, 2019
ElimikaZaidi.com 

The National Council for Technical Education (NACTE) is a corporate body established by the National Council for Technical Education Act, 1997 (Act No. 9 of 1997). The Act provides a legal framework for the Council to coordinate provision of technical education and training and establish an efficient national qualifications system that will ensure that products from technical institutions are of high quality and respond to changing needs as well as technological innovations in the world.

NACTE UHAMISHO AU KUBADILI KOZI, NECTA UHAMISHO 2019, KUBADILISHA KOZI NACTE, KUBADILISHA KOZI WAHITIMU KIDATO CHA NNE 2018 NACTE Verification, Nacte Confirmation, Nacte students Verification, Nacte students Confirmation, Nacte Online Verification, Nacte Online Application, Nacte Transcript, Nacte Login, Nacte news, Nacte transcript 2019

Technical education in this context is defined as “education and training undertaken by students to equip them to play roles requiring higher levels of skills, knowledge and understanding and in which they take responsibility for their areas of specialization”. NACTE is thus, a multidisciplinary and multi-sectoral body empowered to oversee and coordinate the provision of technical education and training in Tanzania.

CLICK HAPA CHINI KUDOWNLOAD NA KUONA TANGAZO KAMILI IN PDF FILE NA KUOMBA UHAMISHO/KUBADILISHA KOZI/KUTHIBITISHA CHUO
For more details Download attached PDF FILE below and click nect link to Change Course and College Transfer

More details Download or view Provided attached PDF FILE below: 

6/Post a Comment/Comments

  1. Swali langu ni kwamba kwamfano ulichaguliwa kujiunga na chuo Cha utumishi wa umaa halafu ukataka kubadili na kujiunga na chuo Cha afya utafanyaje ukitaka kubadili na kujiunga na chuo Cha afya?

    ReplyDelete
  2. Naomba msaada wa jinsi ya kubadili course ya kwenda kusoma ngazi ya astashahada maana nimejaribu sana kubadili pasipo mafanikio yoyote

    ReplyDelete
  3. Naomba msaada wa jinsi ya kubadili course ya kwenda kusoma ngazi ya astashahada maana nimejaribu sana kubadili pasipo mafanikio yoyote

    ReplyDelete
  4. samahan naomba nisaidien jinsi ya kubadili chuo na course

    ReplyDelete
  5. coz tumeambiwa kubadili course ni kwanzia taree 16 /08/2020 then deadline ni 30/08/2020

    ReplyDelete
  6. Naomba kusaidiwa nimebadilisha kozi na chuo lakini sijajua kilichofata kila napo ingia sehemu niliyo badilishia nakuta ile ile sehem niliko badilishia sasa wanatuchaguli lini tuliobadilisha

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post

BOFYA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA AJIRA NA ELIMU